Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Amna professor Cole WilliamsLipumba[emoji23][emoji23][emoji23]
COLEWORLDLOVESYOU
Amna professor Cole WilliamsLipumba[emoji23][emoji23][emoji23]
Sababu unajitoa sana ila wakati mwingine unaumia sababu unatamani wote wawe kama wewe,ukweli ni kwamba kila mtu yuko vile alivyo na usitarajie chochote toka kwa watu.Ukiwa na moyo mzuri, unasaidia sana, unapenda sana, na mara zote utaonekana unaumia sana.
Weeee!siku hizi ni siri ya majirani[emoji23][emoji23][emoji23]Kuchapiwa ni siri ya ndani
Sababu unajitoa sana ila wakati mwingine unaumia sababu unatamani wote wawe kama wewe,ukweli ni kwamba kila mtu yuko vile alivyo na usitarajie chochote toka kwa watu.
Hili ni darasa huru kabisa hapa kijijiniUnaweza kupenda kirahisi bila ya kuamini na kukumbatia bila ya kukumbatiwa.
Kama watu(wanaume na wanawake) wa dizaini hii wamebaki basi ni wachache wengi siku hizi hawataki hata kusikia,haya mambo waliweza wahenga.Kitanda hakizai haramu.
Hata Maury akisema "You are not the father" inabidi ujikaze kiume uendelee na malezi ya mtoto.
Hicho ndicho kipimo cha ukubwa na ubinadamu
Majirani wanajuaje kuwa ume/nachapiwa?Weeee!siku hizi ni siri ya majirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukichapiwa tu majirani unatangaza
Na wakati mwingine haitaji umpe ufumbuzi wa matatizo yake bali anataka uwe hapo tu kwa ajili yake kumfarijiMsichana anapokuelezea matatizo yake, haina maana kuwa analalamika, ina maana anakuamini.
Don't expect love in returnSababu unajitoa sana ila wakati mwingine unaumia sababu unatamani wote wawe kama wewe,ukweli ni kwamba kila mtu yuko vile alivyo na usitarajie chochote toka kwa watu.
Inawezekana ikawa kweli[emoji19][emoji19][emoji19]Sina uhakika kama majibu yako ni sahihi.
Nina mashaka sana !!!
Usipo Amini inakuwa kama biasharaUkiamini sana unaweza kudanganywa, na utaishi kwa taabu, labda uwe umeamini kitu sahihi.