Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Usimwamini mwanaume kupitiliza, wala bachela kuwa naye kwa karibu sana.
Kabisaa[emoji817][emoji817][emoji817]Ni rahisi zaidi kusingizia wengine kwa matatizo yetu hata kama matatizo hayo tumeyasababisha sisi wenyewe (self inflicted)
Wewe utakuwa tofauti?Ndio mana nikasema siku hizi kuna "harusi" na si "ndoa"
Wengi wanapenda ile sherehe tu ila ustahmilivu ndio changamoto
True that broUkifanikiwa kumsaliti mtu, usifikiri huyo mtu ni mjinga.
Profesa J au Maji Marefu kiboko ya Wachawi (wa Tanga?)Professor
COLEWORLDLOVESYOU
Bro usikimbie sanaWewe utakuwa tofauti?
Ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mpaka Koromije kibandani kwangu !!!
Siulizi tena maana majibu ninayoKama ninavyosemaga hapa kila siku, usiulize majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali....
Sina uhakika kama majibu yako ni sahihi.Siulizi tena maana majibu ninayo
Ufafanuzi kidogo,kwanini yani?Usimwamini mwanaume kupitiliza, wala bachela kuwa naye kwa karibu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani ile paaapWewe utakuwa tofauti?
Ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mpaka Koromije kibandani kwangu !!!
Lipumba[emoji23][emoji23][emoji23]Professor
COLEWORLDLOVESYOU
Usaliti ni maamuzi ujue?na si bahati mbaya kama wengi tunavyosemaUkifanikiwa kumsaliti mtu, usifikiri huyo mtu ni mjinga.