Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Kabisa umenigusa ulivyo tupia hayo majamboEnzi za neema..
COLEWORLDLOVESYOU
Kabisa umenigusa ulivyo tupia hayo majamboEnzi za neema..
Ati nini?Basi naomba kubadilisha shemeji
Bro uko vizuri sana kwenye kuelezea, umeelezea vyemaAti nini?
Ushemeji siyo cheo cha kusomea kwamba unaweza kubadilisha tu. Sisi ni mashemeji for life.
Kuwa na subira. Subiri angalau Andjul aje naye atie neno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kupokea je?[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi siwezi kukupa wewe taraka.
My deepest fear in this world is losing you
COLEWORLDLOVESYOU
Yaani huyu shemeji kivuruge hata usimuite maana yeye ndo atachochea nidai talaka vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]Ati nini?
Ushemeji siyo cheo cha kusomea kwamba unaweza kubadilisha tu. Sisi ni mashemeji for life.
Kuwa na subira. Subiri angalau Andjul aje naye atie neno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kupokea je?[emoji23][emoji23][emoji23]
Inaukweli ndani yakeNakuamini. ni sifa nzuri kuliko nakupenda.kwa sababu huwezi kumwamini mtu usiempenda,lakini utampenda mtu unayemwamini.
Yaani huyu shemeji kivuruge hata usimuite maana yeye ndo atachochea nidai talaka vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema huu ukoo naupenda acha nivumilie[emoji144][emoji144]
Me nina huruma ujue[emoji23][emoji23][emoji23]Shemejiiiiiiiii. You are killing me ha ha haaaaaa....
Uwage na huruma. Siyo kumuweka mdogo wangu roho juu namna hiyo bana...
Soul mate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uuwiiiYes shemeji. Narudia tena: Ndo maana unapendwa na karibu ukoo mzima. Na ndoa bila uvumilivu ni kazi bure.
Kwa kweli kama ni soul mate bro alipata. Hongera sana !!!
Napokeaje sasa hata kuiangalia siwezi. You are the love of my lifeIla kupokea je?[emoji23][emoji23][emoji23]
Me nina huruma ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha nimtingishe kidogo bhana akili ichangamke[emoji87] [emoji87]
Ni wachache sana wataelewa na kukubaliana na huu ukweli,hizi ahadi na fedha ni vichocheo tu sema siku hizi ndio tumefanya ni vitu vya msingi sanaMahusiano mazuri hayahitaji ahadi,hali ya kifedha, yanahitaji tu mwanamke mwaminifu na mwanaume ambaye ni mwaminifu.