KINGA NA MATIBABU YA TATIZO LA KUTOPATA CHOO matibabu ya tatizo la kutopata choo ni magumu na marahisi pia kutokana na ukubwa wa tatizo ila kwa ufupi kila mtu anaweza kujikinga na kupunguza uwezekano wa kupata tatizo hili kwa kufuata kanuni za ulaji bora wa chakula kwasababu tatizo la kutopata choo husababishwa na namna unavyokula au kuishi hivyo ukifuata kanuni bora za ulaji chakula bora tatizo hili halitakupata hivyo njia sahihi ya kujikinga na tatizo la kutopata choo ni kula nafaka zisizokobolewa, matunda, mbogamboga, na kunywa maji mengi ~matibabu yake huhusisha ukubwa wa tatizo ambapo Kuna Tiba mbili ya kupewa dawa au kufanyiwa upasuaji kwa ajili ya kuondoa kinyesi kilichoganda na kuendelea na matibabu ya kuweza kukufanya kupata choo kwa urahisi