Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mazoezi Husaidia Kutibu Tatizo la Kukosa Choo Pia:
Ukiachia vyakula,ufanyaji mazoezi au kazi zinazoshughulisha mwili zinazaidia kuzuia na kutibu tatizo la kukosa choo.

Kufanya mazoezi kila siku angalau kwa dakika 30 ni jambo linalowezekana kama utalipa muda na kuweka katika ratiba zako.
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

COLEWORLDLOVESYOU
Safari ya wapi bro?
 
~watu wengi wamekuwa wakilalamika juu ya tatizo la kutopata choo na pia kupata choo kigumu hili ni tatizo sugu sana miongoni mwa watu wengi Bila kujua ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka hata hivyo wengi huwa wanapuuzia na kuona ni tatizo la kawaida LAHASHA!! napenda kukuambia ukosefu wa choo kwa Muda mrefu ndio chanzo cha magonjwa mengine tena ya hatari zaidi kwasababu mtu unapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa uchafu unaotakiwa kutoka huwa unajikusanya tumboni na unapokosa sehem ya kutokea unahamia kwenye damu na kuingia katika mfumo wa damu na kuwa sumu na chanzo cha magonjwa mengine ambayo hujitokeza baadaye na kukuathiri zaidi,
 
CHANZO CHA TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION) Tatizo hili husababishwa zaidi na ulaji mbovu wa vyakula na kutokujizoesha kujisaidia mara kwa mara pia kula vyakula vilivyokobolewa na matumizi mabaya ya dawa na magonjwa mengine pia na mabadiliko ya homoni mwilini ndio chanzo cha tatizo
 
Back
Top Bottom