Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kweli..Mahusiano bila uaminifu ni kama gari bila mafuta.
Unaweza kukaa humo unavyotaka, lakini halitajongea ng'o !!!.
Mmh!Unaweza kupenda kirahisi bila ya kuamini na kukumbatia bila ya kukumbatiwa.
Shemeji anatema madini tu leoHili ni darasa huru kabisa hapa kijijini
COLEWORLDLOVESYOU
Tunatangaza na wanashuhudi piaMajirani wanajuaje kuwa ume/nachapiwa?
Hii kauli ni rahisi kuisema kuliko kuifanyia kazi,wengi wetu huwa tunatamani tupate japo kidogo ya kile tunachotoaDon't expect love in return
COLEWORLDLOVESYOU
Na madini ni mvuto!!Shemeji anatema madini tu leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] upopo makini kwenye upupu siku nakutafutia ukufashe hadi macho hayo
Msichana unayempenda akikwambia "Mi nina mtu tayari" usitahayari.
Kwa hali ya sasa ni nadra sana kumpata msichana mwenye sifa asiye na mtu.
Kama kweli unamtaka kwa malengo mema basi itakubidi upambane ili kumtia katika himaya yako !!!
Na hii ndiyo sababu mojawapo inayokufanya uitwe mwanaume !!!
Yaani leo watema madini mazuri sanaUmbali unaweza kuwa ni changamoto ngumu katika mahusiano.
Uaminifu unapokosekana, wasiwasi huzaliwa.