Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nitaendelea na madini baadaye kidogo wapendwa.
Huwa nakuja katika uzi huu kuburudika na kujifunza.
Na hata niwe na huzuni namna gani, huzuni hiyo huyeyuka.

Siku nitakapoandika kitabu uzi huu nitautabaruku.
Baadhi ya misimamo na falsafa zangu zimerekebishwa na kuhuishwa hapa.
Dhana nzima nzima kuhusu urafiki na ubinadamu zimechanuzwa hapa
Hata kupambana na kutokata tamaa...

Asanteni nyote na tudumisheni undugu, upendo na urafiki huu.
Mungu Aendelee kutubariki daima !!!
 
Amin....
 
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]
Tubarikiwe sote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…