Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2512.jpg
 
Kwa vile upo uwezekano wa msukumo wa damu kuendelea kuwa juu moja kwa moja. Mzazi hushauriwa kupima msukumo wa damu mara kwa mara, iwapo baada ya wiki sita (siku 40) itaonekana msukumo wa damu unaendelea kuwa juu, basi hushauriwa kuendelea na matibabu ya msukumo mkubwa wa damu kama wagonjwa wengine wenye ugonjwa wa msukumo mkubwa wa damu.
 
Kundi la DESTINY'S CHILD likarudi kama kawaida chini ya Wanakundi wapya wawili waliokuja kuziba Mapengo ya LETOYA na LATAVIA.

Na kuendeleza Libeneke kama kawaida.

Wanne hawa wakiwa wanaendelea na Kazi zao za Kimuziki Nje na Ndani kwa bahati mbaya mmoja wa Wanakundi wa kuitwa FARAH FRANKLIN alikuwa anasumbuliwa na Matatizo ya Kiafya mara kwa mara.

Kitu ambacho kiliwafanya Wanakundi wenzake, wafanye maamuzi Magumu na kumtema FARAH FRANKLIN kwenye Kundi la DESTINY'S CHILD.

Na kundi hilo kubakiwa na Wanakundi Watatu ambao ni,

Shuka chini
 
Back
Top Bottom