Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unajua Kundi hili la DESTINY'S CHILD limepitia Misukosuko mingi sana mpaka kufikia kubakia Watatu hao, ambao ni MICHELLE, BEYONCE na KELLY.

Natamani niwachambue Walimbwende hawa wa Kundi la DESTINY'S CHILD kwa kina ila kwa bahati mbaya Muda unakuwa kama haunitoshi vile.

Lakini ngoja nikumegee kidogo.

Shuka chini
 
Unajua Kundi hili la DESTINY'S CHILD kwa mara ya kwanza lilianzishwa na Wanadada wanne kutoka HOUSTON ambao ni LETOYA, BEYONCE, KELLY ROWLAND na LATAVIA.

Na wakawa wanafanya vizuri sana na mafanaikio yao yalikuwa yanapanda kwa kasi.

Shuka chini
 
Kilichowaharibia ni Migogoro na Mivutano ya wao kwa wao (wanaKundi la DESTINY'S CHILD) ambao ni KELLY, LETOYA, BEYONCE na LATAVIA mpaka kufikia kufunguliana Mashitaka.

Na kwa jinsi hali ilivyokuwa Wawili hawa ambao ni BEYONCE na KELLY ROWLAND walikuwa na maelewano mazuri au kwa lugha nyingine naweza sema walikuwa na Nguvu kwenye Kundi lao, na kuwafanya wawili hawa wawe kitu kimoja Kipindi cha Mivutano na kuanza kuburuzana na Wawili wenzao amabo ni LETOYA na LATAVIA.

Shuka chini
 
Kifafa cha Mimba (Preeclampsia, eclampsia)


Kifafa cha mimba ni ugonjwa unaohusiana na msukumo mkubwa wa damu (high blood pressure) wakati wa ujauzito pamoja na kuharibika kwa viungo muhimu mwilini kama vile figo na ini. Kwa kawaida ugonjwa huu hutokea baada ya nusu ya kwanza ya ujauzito kuisha (kuanzia wiki ya 20 au miezi mitano ya ujauzito).
 
Ugonjwa huu huweza kuwatokea hata wajawazito ambao hawakuwa na tatizo la msukumo mkubwa wa damu kabla ya ujauzito.

Ugonjwa wa kifafa cha mimba unaweza kuleta madhara makubwa kwa mjamzito na mtoto aliye tumboni. Kuharibika kwa viungo muhimu kama figo na ini la mjamzito kunaweza kuwa kwa kiwango kikubwa kichoweza kusababisha mjamzito kupoteza maisha iwapo hatapata huduma ya afya mapema. Vilevile mtoto aliye tumboni anaweza kuathirika kwa kukosa damu ya kutosha toka kwa mama na kushindwa kukua vizuri na iwapo hali hiyo ikiendelea muda mrefu anaweza kufia tumboni.
 
Kwa kawaida ugonjwa huu huwepo kwa muda fulani bila mjamzito kuona dalili zozote. Ghafla mjamzito anaweza kuanza kuona dalili kama maumivu ya tumbo juu ya kitovu, kutapika, macho kutokuona vizuri, kuumwa kichwa, mkojo kuwa na rangi tofauti na kawaida, kupumua kwa shida, uchovu na maumivu ya viungo au kupoteza fahamu na “degedege“.
Kila mjamzito mwenye dalili hizi ni muhimu aonwe na mtaalam wa afya ili apimwe na kupewa ushauri.
 
Kilichofanyika ni kwamba LADY B na KELLY ikabidi wawaite Wanadada wawili ili kuziba Mapengo ya LATAVIA na LETOYA.

Na Wadada hao Wawili walioitwa ili kuziba Mapengo ni MICHELLE WILLIAMS na FARAH FRANKLIN.

Na kukamilisha Idadi ya Kundi ambao ni Wanne kama ilivyokuwa mwanzo.

Na Kundi la DESTINY'S CHILD la Wanakundi wawili wapya likawa,

Shuka chini
 
Sababu ya ugonjwa huu kutokea hazijulikani mpaka sasa ingawa zipo nadharia mbalimbali zinazojaribu kuelezea kutokea kwake. Mojawapo ya nadharia hizo inaelezea kuwa ugonjwa huu hutokana na matatizo ya ukuaji wa kondo la nyuma (placenta). Mishipa ya damu inayounda placenta ikikosea jinsi ya kujikita kwenye ukuta wa kifuko cha uzazi husababisha mishipa hiyo kuwa na tabia tofauti na ile ya kawaida na kusababisha mjazito kupata msukumo mkubwa wa damu na kifafa cha mimba. Kwa vile ugonjwa huu huonekana kutokea zaidi kwenye familia fulani kuliko nyingine,
 
Back
Top Bottom