Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Haya bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shusha nondo mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unasoma nini leo Mzee Ruta?
Hao watu wanaolia si uwaulize mkuu? Au rudi home na dola ulizochuma uwapoze kidogo....mimi nimezowea nikija nyumbani , tunakaa pub za home mpaka asubuhi tunakunywa . sasa hivi watu wanalia kweli mnakunywa beer ? mwaka wa tatu sijarudi , kuna nini beer watu wanakunywa kweli kama zamani?
Pambana mkuuKitu kama unakitaka ni lazima ukipiganie mkuu. Jirani, hebu niache nipambane na hali yangu! [emoji23][emoji23][emoji15]