Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Shemeji, Rafiki, jirani, mate Habari yako.
Shemeji, Rafiki, jirani, mate Habari yako.
Lilugha la watu hilo tena limekuja na meli. Ni kuliboronga tu hivyo hivyo hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli....
Shimba shimba kidhungu hicho ujue [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NAKUPENDA SANA[emoji173]
Cole mambo?[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
Hongera !!!wana jamii mimi senior nimepata mpenzi tulikuwa tukiongea kwa cm muda sikimapenzi mwisho tukaanza kupendana kwa cm msichana akujuwa umri wangu , baadae mapenzi yakawa moto moto , msichana ikabidii tuwe pamoja kwangu naona vibaya kidogo ,lakini mtoto mzuri kumuacha siwezi
Salama shemeji yangu, za kwako rafiki?Shemeji, Rafiki, jirani, mate Habari yako.
Moyo?Hamna namna sikiliza moyo wako ndugu yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeLilugha la watu hilo tena limekuja na meli. Ni kuliboronga tu hivyo hivyo hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa. Mwanaume demu unayemzimikia kahamia kwako halafu unakuja JF kulalamika eti unajisikia vibaya?Kichwa unamshauri mvulana sio mwanaume. Huyu jamaa mwandiko wake tu unajieleza
jamani kukoje huko nyumbani watu wanalia mitaani kulikoni?Craig David- walking away.
Hiyo avatar ugonjwa wa moyo huku we pimbi
Umesahau mate? Mwangalie vizuri huyu shemeji yako. Anatishiwa talaka kila kukicha. Ushauri nasaha unaweza kumsaidia ila uwe na mipaka naye. Tunakulaga siitaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Salama shemeji yangu, za kwako rafiki?
Wapi wanalia? Wewe uko wapi?jamani kukoje huko nyumbani watu wanalia mitaani kulikoni?
Kuwapata watu wa aina hii imekuwa nadra kidogo. Inavyoonekana karibu kila mtu, hata wale wa karibu kabisa, ana ajenda yake (ya siri). Ukimpata mtu wa aina hii mng'ang'anie sana na hakikisha uhusiano wenu haufi !!!