Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Amen. Nipo vizuri kabisa mkuu.Kiimani nimeimarika zaidi maana "dhahabu husafishwa kwa moto".Mkuu kwema? Pole na misukosuko. Mungu Aendelee kukuongoza na kukutia nguvu mkuu. Yote yatapita na maisha yataendelea [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hako kandama kakichinjwa utumbo wake iwe supu muda wa kunywa soda za wakubwa.Umeanza....
Carba ukuje huku. Aliyepotea kapatikana. Chinjeni ndama aliyenona tufanye sherehe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]