Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Shemejii sikuhizi usingizi haukati kati ovyo [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13].Hapo wanaoongoza kwa uzembe wa kukosa usingizi ni:-
1.jakitoo(hata sijui kwanini)
2.carba (chanzo itakuwa ndoa)
3.Numbisa (anashughuli nyingi ila...)
4.Shimba ya Buy...(kisa, kajakitoo)
5.Kichwa Kichafu.(labda lindo)
Hivi,naanzaje kukosa usingizi kwa mfano??? Mijibapa yooote na JF juu....full kujisomea mpaka asubuhi.Kwanini nikose usingizi? (Mwe mwe mwee mnyakyusa mimi hata sijui naeleza nini???) Tujitahidi kulala mapema ili tusilewe sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]