[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji buaanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndoa imevunjika lakini wewe bado wadai mahari? Ngoja nifukunyue kwenye vitabu vya uhasibu nijue hiyo akaunti inaitwajeSasa wale ng'ombe wa mahari ndo imetoka ama?
Ngoja nimbane Moudgulf atoe mahari aisee. Ndo maana siku hizi anaonekana humu kwa shida. Kumbe kajifungia anakula asali mwezi. Ujanja janja wa Kizaramo si Wasukuma hatuutaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]