Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila mmoja kwa wakati wake aakikishe anafuata kanuni za afya,ikiwemo kuhakikisha anakunywa maji yaliyo safi na salama, kula vyakula vilivyoandaliwa katika hali ya usafi, kuhakikisha tunanawa mikono kwa kutumia maji safi na sabuni kabla ya kupika au kabla ya kula, tunasafisha vyakula kama matunda na mboga mboga kwa kutumia maji safi. Pia mama anayenyonyesha aakikishe amenawa vizuri na yuko katika hali ya usafi kabla ya kumnyonyesha mtoto.
 
Endapo mtu atapata dalili za ugonjwa ni vyema kuwahi katika vituo vya afya haraka iwezekanavyo. Kwa kuwa wagonjwa hupata upotevu mkubwa wa maji, hutibiwa kwa kuongezewa maji, mfano wa matumizi ya ORS (kwa viwango vya WHO au UNICEF). Wale waliozidiwa sana huwekewa dripu na pia matumizi ya antibiotiki maalum ili mgonjwa apone mapema.
 
BaO8qERB46N.jpg
 
Back
Top Bottom