Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Murkomen touches the nerves of NASA
Hakuna kama mama
Makiss all time
Karibu mkuuNimetia timu
Weka mambo mkuu hadharaniZIPO nadharia zinazokanusha ubantu wa luhga ya Kiswahili. Baadhi ya nadharia hizo ni kama zile zisemazo, “Kiswahili ni Kiarabu”, Kiswahili ni Pijini;” “Kiswahili ni lugha ya vizalia,” nk. Ukifuatilia nadharia hizo kwa makini utabaini kuwa zina kasoro ndani yake kwa kuwa zinakosa uthibitisho wa kisayansi.
UmoliloAngalia mfano hapa
Kiswahili Kindali Kizigua Kijita Kikurya Kindendeule
Mtu Umundu Mntu Omun Omontu Mundu
Maji Amashi Manzi Amanji Amanche Maache
Moto Umulilo Moto Omulilo Omoro Mwoto
USA wanazalisha mahindi kwa wingi hivi ni kwa ajili ya mifugo maana vyakula vyao si ugali1: USA
Miaka nenda miaka rudi, nchi hii imeongoza kwa kuzalisha mahindi duniani, ambapo kwa mwaka huzalisha kiasi cha 377.5 metric tons. 205 ya mavuno yanatumika nje ya marekani. Zao la Mahindi lilianza kulimwa maelfu ya miaka iliyopita wakati huo likijulikana kama teosinte mpakani mwa Marekani na Mexico. Hivi sasa Iowa inaongoza kuzalisha mahindi kwa wingi zaidi ikifuatiwa na Ilinois na Nebraska. Marekani inatumia kiasi cha hekari milioni 92 kwa ajili ya kilimo cha mahindi pekee.
Mkuu nimekupata kabisa najua JUNIOR MAFIA ni kundi la Biggie nilikuwa Na reflect hilo jina la kundi walikuwa vizuri sanaFilamu ya Maisha ya Biggie inaitwa NOTORIOUS.
JUNIOR MAFIA ni Kundi ambalo lilikuwa chini ya BIGGIE.
Na kundi hilo lilikuwa na Mlimbwende mmoja pekee ambae ni LIL KIM.
Kwahiyo katika Filamu hii ya kuitwa NOTORIOUS walioigiza hawakuwa Wahusika halisi, yaani kuanzia BIGGIE mwenyewe, FAITH EVANS, PUFF DADDY, kundi la JUNIOR MAFIA, na wengineo wote.
Hicho ndicho nilichokuwa namaanisha.
Bila shaka utakuwa umenipata vizuri sana Kiongozi wangu