Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na huyu Cole akija kuonekana humu aisee itabidi atugawie majibapa kumi kumi. Haiwezekani sisi tupambane hivi kuokoa ndoa yake wakati yeye amechili tu huko aliko. Hii haiwezekani aisee !!!
Akija hapa salamu ya kwanza kwa shemeji yake,yaani huyu mwanaume huyu[emoji23][emoji23][emoji23]basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…