Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama vile siyo wewe uliyekuwa unampa insomnia huyu binti unakesha ukibembeleza. Leo hii unamuombea aendelee kukohoa tu. Roho mbaya ya nini? Au ni fukuto la sizitaki mbichi hizi?

Carba kuwa macho. Mapenzi yakija kuisha nawe utaombewa uendelee kukohoa. Baki njia kuu mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]hepa kweli nimwe macho doh!
 
0a82bf05c6d235299b4e5fa6850284fa.jpg
 
Kuna siku mlipanga mtoko wa wikiendi. Baadaye mkaanza kuitana "mate". Nikakodoa macho wee bahati nzuri siku hiyo nadhani kulikuwa na ipieloo mate wako akakimbilia huko. Yaani bro ameanza kuwa na ukaribu kwako kuliko alivyo na ukaribu na mkewe. Mapinduzi mzunguko yanapikwa ama? Haya yakitokea aisee sikubali. Akinipindua nami nampindua hata kama ni violent revolution potelea mbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapinduzi mzunguko"[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi nayaona
 
Aisee, usinifanye nihamishie majeshi yangu kwa jakitoo: Ooh, shauri yako! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
"Jemedari anayeshambulia kila mahali hujichosha bure na ushindi kwake ni ndoto"

Lao Tzyu aliyatamka maneno haya maelfu ya miaka iliyopita. Yazingatie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom