Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na hiyo dawa ukute imeisha ili uendelee kukohoa tu, hakuna namna! [emoji23][emoji1550]
Kama vile siyo wewe uliyekuwa unampa insomnia huyu binti unakesha ukibembeleza. Leo hii unamuombea aendelee kukohoa tu. Roho mbaya ya nini? Au ni fukuto la sizitaki mbichi hizi?

Carba kuwa macho. Mapenzi yakija kuisha nawe utaombewa uendelee kukohoa. Baki njia kuu mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani wewe huoni anavyonitilia kauzibe? Huyu mwanawasu ananichoma kisu cha kwa moyo kabisa! [emoji23][emoji23]
 
FB_IMG_1508912386463.jpg
 
Carba carba[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] uu mchochezi....
Mimi na cole tuu mashemeji we mwanamke, "hatulagi"[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Shimba baby usimsikize carba, mpenzi wangu!
Kuna siku mlipanga mtoko wa wikiendi. Baadaye mkaanza kuitana "mate". Nikakodoa macho wee bahati nzuri siku hiyo nadhani kulikuwa na ipieloo mate wako akakimbilia huko. Yaani bro ameanza kuwa na ukaribu kwako kuliko alivyo na ukaribu na mkewe. Mapinduzi mzunguko yanapikwa ama? Haya yakitokea aisee sikubali. Akinipindua nami nampindua hata kama ni violent revolution potelea mbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom