carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hivi wajua shkamoo ni salamu ya heshima?Siijibu,kwani mimi na Andaeitini nani anaonekana wa longi kitambo? Lakini una nini wewe? Nani kakuambia mie ni shikamoo? Mi bado mbichi ujue,bado siijui thamani ya sh.10'000...
Au unataka niseme "mambo shemeji"?
Hivi unanini lakini[emoji23][emoji23][emoji23]