Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu wa rehema[emoji120] [emoji120] ,faraja i mkononi mwako sasa.
Andaeitini hata haelewekagi anataka nini, Cole yupo kwenye wakati mgumu sana(nilimkanya sana Cole,hakunisikia,carba ni mvumilivu sana mtoto wa watu) wa kurestoo ndoa yake. Najuutaa sana(hata sijui naumia kwa ajili ya nini) carba kurubuniwa na Andaeitini,utadhani mimi sipo!!!!?!!....
Shkamo shemeji kivuruge
 
Kaandaeitini kamefanya timing ya kufa mtu. Cole hayupo hata akija ni kulalamika tu. Wewe haupo. Yaani binti wa watu kajifaragua weee mpaka naona mwishowe kaanza kulainika. Talaka ilitishiwa mara nyingi na Kaandaeitini kakasema eti katajitolea kulipia gharama zote. Kuna tensheni kubwa. Afadhali umerudi japo Carba naye haonekani. Sijui ndo anafainolaizi divosi hata haieleweki aisee....
Nawamiss hamjui tu,nivile siwezi kaaa humu mda mrefu,nikiwa vizuri nitarudi shemeji
 
Nawamiss hamjui tu,nivile siwezi kaaa humu mda mrefu,nikiwa vizuri nitarudi shemeji
Najua. Pole sana. Mungu Aendelee kukubariki na kukuongoza. Kawapiganie shemeji na mkono wako ukawaguse na kuwaponya [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].
Utatukuta!!!
 
Mbona umekasahau Kaandaeitini kwenye hiyo orodha? Usiku kucha kanahonga maua, mvinyo mpaka na viatu vya mchuchumio. Sasa hivi kanapigania talaka hakalali kabisaaaa...

Mimi na Jakitoo siku hizi tunauchapa bila wasiwasi. Baada ya Bob kupotelea Mogadishu na Kaandaeitini kugeuzia makombora kwingine, mambo yametulia sana na sasa ni kula na kupakua tu full magego....

Koh koh... Sijui nimepaliwa nini? Nakurupuka toka usingizini saa hii nakutana na madongo kama haya! [emoji23][emoji23][emoji23] carbamazepine, hujambo aisee? Long time no see! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
 
Mwalimu wa somo la hisabati aliandika ubaoni

*36x + yx, 2/3yx + 3x (66y + 12x).b = 0*

Akamwambia Salim atatue tatizo.

Salim alichukua dasta akafuta ubao akamwambia mwalimu tatizo limeisha.

[emoji38][emoji38][emoji38].....

Matatizo yetu mengine yanahitaji dasta tu. Fuuutaaa [emoji112][emoji112].

Haina haja yakuumiza kichwa na matatizo ambayo hatuwezi kuyasolve. Ni kufuta tu[emoji125]
 
Koh koh... Sijui nimepaliwa nini? Nakurupuka toka usingizini saa hii nakutana na madongo kama haya! [emoji23][emoji23][emoji23] carbamazepine, hujambo aisee? Long time no see! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Sijambo aiseeh!habari ya kuamka?
Halafu shemeji kivuruge karudi jiandae[emoji23][emoji23][emoji23]
Me simo!tena napita hivi[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Sijambo aiseeh!habari ya kuamka?
Halafu shemeji kivuruge karudi jiandae[emoji23][emoji23][emoji23]
Me simo!tena napita hivi[emoji124] [emoji124] [emoji124]

Habari poa kabisa! Nimemuona, ameshaanza talalila zake! Si wanasema kelele za chura hazimzuii ng’ombe kunywa maji, au nimekosea? [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom