Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]"Mate"/shemeji/rafiki yako yule hajambo?[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kweli wewe na jakitoo siku hizi mnauchapa ila juzi ulini"katia"mimi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nawaangalia tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemeji. Nilikukatia usingizi? Mimi? Basi nisamehe. Nilikuwa napiga makelele au nilifanya nini jamani?
Siijibu,kwani mimi na Andaeitini nani anaonekana wa longi kitambo? Lakini una nini wewe? Nani kakuambia mie ni shikamoo? Mi bado mbichi ujue,bado siijui thamani ya sh.10'000...Shkamo shemeji kivuruge
ndio mdundoBack 24 hrs ago kugonga likes kwa kila post
Nipo nipo saana, hakuna cha ndoa na Andaeitini. Futa kabisa kwenye mawazo yako.Baadae nitakutafutaSiko vizuri sana nilipita kuwasalimu,naona shemeji kivuruge karudi ukimwona msalimu
Le Mutuz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, unaongelea nini?Mara waTz Mara wa k
Kila mtu apambane na hali yake..