mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yegooooo
Nafuatilia hiki kizungumkuti kinachoendelea. Hawa mates hawa we acha tu.Sasa mbona hutuliii na shimba wako jamani[emoji23][emoji23][emoji23]kutwa kupeana madedications hapa tena mbele ya macho yetu,shimba anamoyo wa nyama ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:SHIMBA YA BUYENZE shem darling mkanye mkeo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kaone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukimwachisha mke kwa mumewe na kwako atakuja kuachishwa tu. Malipo ni hapa hapa duniani dogo. Stop it !!!Fanya kweli bhana, ukate huo mzizi wa fitina! Mlime mtu talaka ya moja kwa moja, siyo talaka rejea! [emoji23][emoji23]
Hakuna cha talaka wala Andaeitini kupata mke, vizawadi vyake vya maua tena kajiti kamoja!!! Asilete mambo ya kifilipino hapa.Kama anaweza ahonge ng'ombe 20,au mpunga gunia 100,basi,hata akishindwa maparachichi fusso moja iliyo jaa pomoni.
carba ni wa ghalama sana,lasivyo nabaki nae mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa ukimuombea mabaya ndo itasaidia nini? Na Carba humpati ng'oooo !!! [emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wewe huoni anavyonitilia kauzibe? Huyu mwanawasu ananichoma kisu cha kwa moyo kabisa! [emoji23][emoji23]
Congratulations for being a good dad [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Weeeeeee Thubutuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna siku mlipanga mtoko wa wikiendi. Baadaye mkaanza kuitana "mate". Nikakodoa macho wee bahati nzuri siku hiyo nadhani kulikuwa na ipieloo mate wako akakimbilia huko. Yaani bro ameanza kuwa na ukaribu kwako kuliko alivyo na ukaribu na mkewe. Mapinduzi mzunguko yanapikwa ama? Haya yakitokea aisee sikubali. Akinipindua nami nampindua hata kama ni violent revolution potelea mbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji22][emoji23][emoji23][emoji23] unani kill softly mwanawasu! Badala ya unipigie debe naona unazidi kuKANDAmiza tu![emoji1][emoji1]
Sasa ukimuombea mabaya ndo itasaidia nini? Na Carba humpati ng'oooo !!! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji22]
Yego mwanawasu usivunje ndoa ya watu