Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
John Jr naye kaondoka na kindege chake kaenda kuanguka nacho baharini pamoja na maonyo yote kuwa hali ya hewa haikuwa nzuri kwa vindege vidogo kwa siku hiyo. Sad !!!
Bobby naye baadaye akala risasi kama kakake. Huzuni juu ya huzuni !!!
Njema kiongozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu habari za leo
Poa, upo jakitoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Moud mambo