Madaktari na afisa wa matibabu walichukua uamuzi huo wa kutomweka hatarini'' , alisema mkufunzi wa Spurs Mauricio Pochettino.
Hakuna haja ya kufanya hatari na kufanya tatizo kuwa kubwa zaidi.
Kane amefunga mabao 13 katika mechi 12 za mashindano yote msimu huu huku Spurs ikiwa katika nafasi ya 3 katika jedwali la ligi.
Manchester United ni wa pili katika jedwali wakiwa sawa kwa alama na Spurs.