mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AminaWakuu hamjambo. Ijumaa imewakutaje?
Tumshukuru Mungu
AminaEndelea kuomba na kupigania, kwa msaada wa Mungu na nguvu yako ya ndani utapita tu. utashinda.
AminaMungu ana mpango na kila mtu pamoja na mimi, huwa sifahamu ni nini, lakini nina imani katika hukumu zake, mapenzi yake ni mapenzi yake, Yeye hutawala sio mimi.
AminaUsijidharau.
Kila kitu Mungu anaweza kukufanyia katika maisha yako.
Mwamini tu.