mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Habari za asbh Rukwa
AminaPamoja na kuzoea ugumu wa maisha fahamu kwamba Mungu anaweza kila kitu.
Mwamini yeye na uache mapenzi yake yatimie.
Mtegemee Mungu kwa kila jamboTaarifa mbaya ni maisha sio rahisi.
Taarifa nzuri ni usitegemee akili zako mwenyewe, mtegemee Mungu.
AminaKufuli haliwezi kutengenezwa bila ufunguo, hivyo Mungu hawezi achia tatizo bila majibu.
Ni hitaji tu la kufungulia linalohitajika.
AminaKumwamini Mungu ni hekima kubwa
Kumfahamu mungu ni amani
Kumpenda Mungu ni ni nguvu ya tofauti.
Amani kwa Mungu ni ujasiri!
Majukumu Mwenye Enzi Mungu anasaidia kwa kweli tunaendelea vizuri sanaSafi kabisa kiongozi,habari ya majukumu?
Tupo mkuuWakuu mupo?
AMUN RAMaisha yana changamoto unapokuwa unafikiria sana, mwache Mungu aongoze hatua zako.