mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wakati wote muda wote mahali poteUkiwa umechoka omba nguvu kwa Mungu, wakati huwezi kuongea , ongea na Mungu, ukiwa mpweke , Mungu yupo nawe.
Wakati wote muda wote mahali poteUkiwa umechoka omba nguvu kwa Mungu, wakati huwezi kuongea , ongea na Mungu, ukiwa mpweke , Mungu yupo nawe.
AMUN RAMungu nifanye chombo chako cha amani palipo na chuki iwe tumaini, palipo na giza kuwe mwanga, na pale palipo na huzuni pawe na furaha.
Sasa mkuu wanawake ndio waaminifuHakuna uaminifu, hakuna imani, hakuna ukweli kwa wanaume.
Mia mia mkuuMahusiano hukoma kwa sababu ya maneno, uongo, usaliti, social networks, kuwa feki, kukosa uaminifu kwa wengine kukosekana kwa ngono na kukosekana kwa mapenzi.
Mia mia mkuuKama leo hakuna uaminifu hata kesho hakuna.
Bila uaminifu hakuna uaminifu, na bila uaminifu hakuna urafiki.
KabisaMimi naweza kukusamehe lakini sitakuwa mjinga wa kukuamini tena.
AminaTatizo letu tunapapara sana na hasa tunapopata matatizo tunatamani yaishe haraka sana tunasahau kama tunatakiwa kuwa na subra(subira).
Subra ndio kila kitu mana wanasema
"Kheri yao wenye subra mana Mungu yupamoja nao".
Asante shem kwa ujumbe huu[emoji120][emoji120][emoji120]
WordNisamehe hufanya kazi pale kosa linapotokea., lakini samahani haifanyi kazi pale uaminifu unapovunjika, kwa hiyo, kwenye maisha fanya makosa lakini kamwe usivunje uaminifu.
Na vinachoma sana kama mkuki kwenye moyoUsivunje vitu 4 maishani mwako: Ahadi, uaminifu, mahusiano na moyo wako wa upendo, kwa sababu unapovunja havipigi kelele lakini inaumiza sana.
AMUN RAUaminifu ni nguzo ya mahusiano, kosa dogo huharibu vitu vyote.
Ukiumwa na nyoka hata unyasi ukigusa tu ndukiUkiumizwa ni ngumu sana kukubali kuwa na mtu mwingine.
Utaogopa.
Pamoja mkuu mambo ya Dr SlaaMadeni ya nje ? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniwazisha mbali saaana
Du [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bhanaKabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]