Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-27-13-46-15.png
 
Parachichi pia limeonekana kuwa na faida nyingi katika kuboresha afya ya macho, viungo vya mwili na nyinginezo nyingi. Katika utafiti mmoja uko Marekani, ulionyesha kuwa watu walao parachichi walionekana kuwa na afya bora ukilinganisha na wale wasiokula parachichi. Waliokula parachichi hawakupatwa na matatizo ya mmeng’enyo ukilinganisha na wale wasiokula. Matatizo ya mmeng’enyo huchangia watu kupatwa na magonjwa ya moyo na kisukari.
 
Sasa mbona hutuliii na shimba wako jamani[emoji23][emoji23][emoji23]kutwa kupeana madedications hapa tena mbele ya macho yetu,shimba anamoyo wa nyama ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:SHIMBA YA BUYENZE shem darling mkanye mkeo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom