Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ina maana mabinti wote wa uzi huu ni vimbaumbau? Hakuna kibonge hata mmoja jamani? Tunajua ukimbaumbau ndo urembo na pengine afya nzuri lakini doh! Carba, Numbisa, Nsamaka, Jakitoo...wote vimbaumbau. Beef na Consuela hali ikoje?
Mie najitahidi kula ninenepe ipo siku tu ntajitoa chama la vimbaumbau
 
FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU.Tunda la Ukwaju.Tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengeneza juisi ambayo matumizi yake yana faida kubwa sana katika afya ya mwili wa mwanadamu.
 
Juisi ya Ukwaju.NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU.Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarketsandaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyeweweka sukari kwa kiasi unachopendelea pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa
 
Back
Top Bottom