Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Tupo tupe stori anza na likesWakuu mupo?
Tupo tupe stori anza na likesWakuu mupo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️...Ndio nishapigwa kikumbo hapa! [emoji57][emoji57]
Waleykum salaamJirani, Asalaam Alyeiqum
Tatizo letu tunapapara sana na hasa tunapopata matatizo tunatamani yaishe haraka sana tunasahau kama tunatakiwa kuwa na subra(subira).Kufuli haliwezi kutengenezwa bila ufunguo, hivyo Mungu hawezi achia tatizo bila majibu.
Ni hitaji tu la kufungulia linalohitajika.
Ninavyokutafuta acha tuSafi kabisa kiongozi,habari ya majukumu?