[emoji120] [emoji120] kwa kushare mpendwa.JINSI YA KIJUSAIDIA UNAPOPATWA NA SHAMBULIO LA MOYO UKIWA PEKE YAKO.
-Kwa kuwa watu wengi hupatwa na Shambulio la Moyo wakiwa peke yao bila msaada wowote, mtu ambaye mapigo yake ya Moyo hayako sawa na anaanza kuhisi kuzimia, au zimebaki sekunde 10 tu kabla hajapoteza fahamu.
--Hata hivyo, waathirika hawa wanaweza kujisaidia kwa kujikoholesha mfululizo. Avute pumzi ndefu kila unapo jikoholesha, na kikohozi lazima kiwe cha ndani mfululizo mpaka makohozi yatoke ndani ya kifua.
---Kikohozi hicho kiendelee mpaka utakapopata msaada au mpaka mapigo ya Moyo yarudi kawaida tena.
----Pumzi ndefu hupeleka Oksijeni mapafuni na kikohozi kiubana Moyo na kufanya mzunguko wa Damu uendelee. Nguvu ya kikohozi ya kuubana Moyo pia inasaidia kurudisha ktk mapigo ya kawaida. Kwa njia hii, waathirika wa shambulio la Moyo wanaweza kufika Hospitali.
Sana, hata mm nilishaona mnoHumu ni kuwa makini tu na watu unaojihusisha nao mwengine ndo kama hao kina kelvin.
Halafu nilishaona nyuzi nyingi tu jamaa analalamikiwa
Hakika nimeipenda.Ila pale yanapokaba maumivu,hata kumeza mate unahisi unajitonesha... Sijui kwa wale ambao tatizo ni kubwa...Sijawahi patwa na hii kitu,nime share ili iweze saidia wenyeshida...
Pole...
Hujambo lakini?
Mimi nitabaki kula mapupu na chips kavu mjini sitaki stress[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Humu ni kuwa makini tu na watu unaojihusisha nao mwengine ndo kama hao kina kelvin.
Halafu nilishaona nyuzi nyingi tu jamaa analalamikiwa
Kwa sasa,tena kote kote (kwa moud na kwa carba) wewe ni shemeji yanguKwani ww ndio shemeji[emoji15]
[emoji120][emoji120][emoji120]shukran[emoji120] [emoji120] kwa kushare mpendwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mapupu...Nimejikuta napakumbuka Nonde kilabuniMimi nitabaki kula mapupu na chips kavu mjini sitaki stress[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aiseeh!pole/poleni/pole yaoHakika nimeipenda.Ila pale yanapokaba maumivu,hata kumeza mate unahisi unajitonesha... Sijui kwa wale ambao tatizo ni kubwa...
Nipo vizuri mpenzi shemeji,habari ya kazi?
Aibariki kwa goli kama 5 hivi,yaani kifupi mfungweMungu ibariki simba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bhanaMimi nitabaki kula mapupu na chips kavu mjini sitaki stress[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwahiyo wataka kusema kwamba wewe ni..........Kwa sasa,tena kote kote (kwa moud na kwa carba) wewe ni shemeji yangu
Wadau mnajulikana[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mapupu...Nimejikuta napakumbuka Nonde kilabuni
Namshukuru Mungu kwamba siku zinaenda,ndivyo ilivyo pangwa.Aiseeh!pole/poleni/pole yao
Salama tu sijui huko uliko?kwema?mana sijapata taarifa yoyote,naimani kila kitu kiko sawa.
Yourdad ni kiboko[emoji23][emoji23][emoji23]hataki maskhara kabisa
Kwani kuna tatizo!!??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo wataka kusema kwamba wewe ni..........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yourdad ni kiboko[emoji23][emoji23][emoji23]hataki maskhara kabisa
Wee acha.... Madude yanatafunwa hayoooWadau mnajulikana[emoji23][emoji23]
Kama ni hivyo tumshukuru MunguNamshukuru Mungu kwamba siku zinaenda,ndivyo ilivyo pangwa.
Jana sikukutafuta baada ya kuona haupo vizuri...
Nimerudi na maparachichi nimeuza,matumizi ni huru maana hesabu hazikaguliwi na CAG[emoji23] [emoji23] [emoji23]