mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
ImepandaHoma ya watani wa jadi
Pipoooooooooooooz !!!
MiwaniNishapata avatar mpya,naisave kwa matumizi ya baadae
Nyama ipi fafanua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utazunguka mabucha yooote ya avatar lakini nyama ni ile ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Pole sanHizi timu zingefutwa tu, yaani tangu asubuhi hakuna kitu kilichoingia tumboni. Ndio maana wengine wanakufa aisee, iwe kwa furaha au huzuni. Haya mateso kila msimu lazima niyapate mara mbili dah!![emoji24] [emoji24]
Hahahahaha bongo fleva hakuna kitu[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] yaani unamaanisha wimbo kama "nani kamwaga pombe yangu,nauliza" au "yai bovu yai bovu,linanuka" nani asiye jua yai bovu linanuka?
Yaani wewe na Andjul mna mambo. Kha !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nacheka ujue
HahahahahaKawaida Mkuu! Marehemu Remy Ongala ana wimbo wake unaitwa "Kipenda roho!" Hebu jaribu kuusikiliza.
[emoji445] [emoji443] [emoji443] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji445][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]ngoja nimtafute Cosmas Chidumule ..... "Usitumie pesa kama fimbo,pale palipo na makubaliano,hapo ndipo pesa huwa na thamani..."[emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
HahahahahaWapi kichwa kichafuuuuuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chupi zinateseka!
The bossylady hapa bongo ni mrs Mengine onlyNew bosslady in town (irene uwoya) tutakomaje kwa mashauzi
Hongera mamaaWoyoooooo 1-0
Hawezi kuonekana. Si kwa kujifaragua kule. Nasubiri Novemba 7 kwa hamu...Wapi kichwa kichafuuuuuuuu
Wameringa....hongera zaoHongera man u
Tatizo anataka niseme uongo na mimi kudanganya sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wewe na Andjul mna mambo. Kha !!!
Nawe piaJioni njema