Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

63' Rashford shows great grit and determination to muscle his way past Dembele before sending a clever pass into the path of Lukaku. The Belgian striker does his best to try and latch onto the ball on the edge of the Tottenham box, but Lloris rushes out and clears the danger with a good bit of goalkeeping.
 
Mambo yote Bongo fleva bana...

[emoji445][emoji443][emoji445][emoji444]Despacito[emoji445][emoji444][emoji444][emoji443][emoji443][emoji443][emoji445]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] yaani unamaanisha wimbo kama "nani kamwaga pombe yangu,nauliza" au "yai bovu yai bovu,linanuka" nani asiye jua yai bovu linanuka?
 
Hizi timu zingefutwa tu, yaani tangu asubuhi hakuna kitu kilichoingia tumboni. Ndio maana wengine wanakufa aisee, iwe kwa furaha au huzuni. Haya mateso kila msimu lazima niyapate mara mbili dah!![emoji24] [emoji24]
Kisa mpira? Kazi mnayo haki ya nani...Na hapo timu yako haijadabuliwa. Ikitokea mkipigwa tatu kavu itakuwaje? Pole sana !!!
 
019dc1ec76c3fac62ef8d0de55c32955.jpg
 
Shemejiiiiii....Hivyo hivyo. Kila kizazi na mashujaa wake ati!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]ngoja nimtafute Cosmas Chidumule ..... "Usitumie pesa kama fimbo,pale palipo na makubaliano,hapo ndipo pesa huwa na thamani..."[emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
 
Back
Top Bottom