Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hasira za 4 - 1. Usijali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmmmh jaman
Hasira za 4 - 1. Usijali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmmmh jaman
Mmejitahidi kwa kweliHALF-TIME: MANCHESTER UNITED 0-0 TOTTENHAM HOTSPUR
Amen[emoji120] [emoji120]Na kila mtu na aseme Aaaaaaamen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ilinichukua muda kuamini kuwa huyu jamaa alikuwa mwanaume. Ila kaibua chuma cha uhakika !!!
Swadakta, pigia mstariIla kweli.
"Daladala yenye muonekano mzuri ndio inayo gombaniwa na abiria".
Sababu ya kuvaa ki kike kike?Ilinichukua muda kuamini kuwa huyu jamaa alikuwa mwanaume. Ila kaibua chuma cha uhakika !!!
Hahahha kabisa kakaHutu tuvikaragosi nilishakwambia hatuvitaki. Tunataka madume 8 na majike 7 siyo hivi vimwanasesere utafikiri Juma na Rosa. Ng'ombe utafikiri mabaunsa....
Hili deni litakuandama daima na hutakuwa na amani mpaka utakapolilipa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona eeeh?Umejikakamua umeongezea na vinguruwe viwili eeh? Ulishaona wapi kitimoto kinatolewa kama mahari? Hii dharau sasa kudadadeki
Wewe hakuna aliebariki, mi najua sijaachika.Ona sasa[emoji56] [emoji56] [emoji56] kumbe hata baba umebariki hiyo ndoa?
Hahhaja tumeoana!Mweeee[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hivi nimeoa au nimeolewa?