mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Screenshots ni silaha ya maangamiziHizi screenshots siku hizi ni hatar
Screenshots ni silaha ya maangamiziHizi screenshots siku hizi ni hatar
Kula likes mkuu. Huku huwa hatuna maneno mengi wala uhovyo hovyo usio na uhovyo wenye uhovyo hovyo kutoka kwa watu wa hovyo ...hii thread ni ya hovyo sana
Hahahahhaa
[emoji23][emoji23][emoji23]eti afanye kwa raha zakeUtani tu huu. Sina stress humu kabisaaa hata chembe. Anaye-screenshot kwa kweli na afanye hivyo kwa raha zake...
Ni ujinga tu na kukosa akili,kiufupi ni utoto tu naweza semaNataman kwenda huko kushuhudia huo utapeli ila likes tamu
Wananiboaga wanaoscrenshot chating zao kisha wanaweka status inaboa sana wao wanadhan sifa
Yaani huwa sipendi ukiniita mkuu basi tu. Mkuu gani wakati watu tumezoeana humu huu mwezi wa pili/tatu sasa?Sio kwa humu mkuu bali yale maongezi binafsi kama watsup inbox au pm. Yaan unachat na mtu jambo la siri baadae unakuta mwenzio kasambaza chating yenu aisee inaumaaa,inachoma kama pasi
Likes za mchana huuLikes za mchana
Mi na wewe tena shemeji,wala usijaliTuagane tu please...
Hahahaha sorry nimezoea hili jina la mkuuYaani huwa sipendi ukiniita mkuu basi tu. Mkuu gani wakati watu tumezoeana humu huu mwezi wa pili/tatu sasa?
Yule jamaa si wanasema tapeli sasa hiyo si faida kweliHali si nzuri,shida ni kujua nani wa kumwamini na nani si wa kumwamini,kuna mtu kaleta screenshots zake na kelvin isaya humu leo ni hatari tupu[emoji15][emoji15]
Tena ngoja nitafute comment yako moja tata niscreenshot kwa raha zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti afanye kwa raha zake
Yaani si nzuri kwakweliScreenshots ni silaha ya maangamizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya wewe ni wa hovyohii thread ni ya hovyo sana
HahhahaaTena ngoja nitafute comment yako moja tata niscreenshot kwa raha zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiye huyohuyoYule jamaa si wanasema tapeli sasa hiyo si faida kweli