Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Lusupi Gadafi is in trabo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lusupi Gadafi is in trabo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwa humu mkuu bali yale maongezi binafsi kama watsup inbox au pm. Yaan unachat na mtu jambo la siri baadae unakuta mwenzio kasambaza chating yenu aisee inaumaaa,inachoma kama pasiUtani tu huu. Sina stress humu kabisaaa hata chembe. Anaye-screenshot kwa kweli na afanye hivyo kwa raha zake...
Tuagane tu please...Mimi nitachukua maamuzi magumu hivi karibuni maana.....
Nipo mkuu nafuatilia game hapa naona man u wachovu tu
hii thread ni ya hovyo sana
mmmmh jamanNipo mkuu nafuatilia game hapa naona man u wachovu tu
Nipo mkuu nafuatilia game hapa naona man u wachovu tu
HahahahahaUshahidi mubashara kabisa
Hapo sawa. Watu wanaofanya hivyo wana matatizo na ni ujinga, utoto na unyama tu. Na mara nyingi ni watoto wa shule. Mi mtu akinifanyia hivyo nitamtafuta tu sitamwachia aisee. Hata kama ni kumburuza mahakamani kabisa....Sio kwa humu mkuu bali yale maongezi binafsi kama watsup inbox au pm. Yaan unachat na mtu jambo la siri baadae unakuta mwenzio kasambaza chating yenu aisee inaumaaa,inachoma kama pasi
Muda kama huu liver tayari walikula goliNipo mkuu nafuatilia game hapa naona man u wachovu tu
Amepotea kweliYeah! Kijana wa Kipare alijichanganya eti naye anazama jijini Mogadishu. Mpaka leo kimyaaaaaa. Ila alitingisha enzi zake mabinti wakipigania kuwa Mama Vivi. Ilikuwa kasheshe.
Kweli hata Mimi nimeaminiHana ubavu huo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii style huku imezidi huwa nabaki kushangaa hizo status. Na kusema umpeleke mahakaman unakuta ni ndugu wa karibu inakua shidaHapo sawa. Watu wanaofanya hivyo wana matatizo na ni ujinga, utoto na unyama tu. Na mara nyingi ni watoto wa shule. Mi mtu akinifanyia hivyo nitamtafuta tu sitamwachia aisee. Hata kama ni kumburuza mahakamani kabisa....
Hahahahaha we mchokozi hahahaa ile 4-1 hatarMuda kama huu liver tayari walikula goli