BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
AiseeeeMbona alikubali? Na makaratasi akasaini? Mbele ya mashahidi? Uwezo wa kulipa anao tena kwake ng'ombe 15 ni vijisenti tu. Mbona asilipe tu yakaisha?
Nchi ya viwonderUmeme imekuwa. ishu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mkoromije haelewekagi ujue...Andjul akikubali kufidia hizo likes hata 100000000 ntakupa hahaa
Nikimbie?Usije kimbia tu maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuonea huruma sana
Jamaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cc:nsamaka[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Usipate taabu oo Neema[emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444]Unamkumbuka cosmas chidumule
Shemeji nimetunza ushahidi wa ahadi yako![]()
Hebu nifafanulie. Andjul afidie nini?Andjul akikubali kufidia hizo likes hata 100000000 ntakupa hahaa
Naamini siku hiyo ndio mwisho wangu wa kunyanyasika na deniUshahidi mubashara kabisa
Yeah! Kijana wa Kipare alijichanganya eti naye anazama jijini Mogadishu. Mpaka leo kimyaaaaaa. Ila alitingisha enzi zake mabinti wakipigania kuwa Mama Vivi. Ilikuwa kasheshe.Mr Mogadishu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama kaka mtu umeingilia kati basi hali shwariHakuna cha talaka wala nini. Hawezi kumwacha Nsamaka. Mbwembwe tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nini asilikumbuke?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti sio "konokono"[emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa analikumbuka neno hilo?