Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naimba na mimi uniletee maana nachoka kudondoshwa na upepo khaa!
Yaani kama nakuona ulivyojazia jazia na kimsambwanda chako cha kikorofi korofi.

Smoothie hii huwa inatumiwa mpaka na wachezaji wanaotakiwa kuongeza uzito kwa haraka; na wagonjwa waliopungua uzito sana. Nitakuletea shemeji ila ukifumuka na kuwa ka sanamu la Michelin mi simoooo [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Screenshot_2017-10-27-23-14-37.png
 
We shemeji wewe acha utani[emoji23][emoji23][emoji23]
Jiandae kuwa sapuraizid[emoji23][emoji23][emoji23]

Nazingoja kwakweli maana hali si nzuri kipindi cha upepo
 
Back
Top Bottom