Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aanguke wapi? Si ajabu ni wale madaktari waleee yaani ukimwona tu vijidudu vya Malaria vinasarenda ghafla na homa inakuachia paaap! Jifanye kujitolea kumpelekea Fuso la maparachichi ili ukajionee mwenyewe laivu....
Yaani mnanifurahisha mjue[emoji23][emoji23][emoji23]
Jiandaeni tu kuwa sapuraizid maana hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmetoka mbali. Kumbuka hilo. Na kutongozwa kwake na akina KK, Mr. Mogadishu na Mzee wa Pwani inadhihirisha kuwa umemtunza vyema bado anavutia. Kweli uko tayari kumwacha mke aliye bado mrembo na anayegombewa namna hii? Usifanye kosa hilo kwani utajuta maisha yako yote....
Ila kweli.
"Daladala yenye muonekano mzuri ndio inayo gombaniwa na abiria".
 
[emoji243] [emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji233] [emoji230] [emoji233] [emoji243] [emoji230] [emoji230] [emoji243] [emoji233] [emoji233] [emoji243] [emoji230] +[emoji241] [emoji241] sitaki kudaiwa
Hutu tuvikaragosi nilishakwambia hatuvitaki. Tunataka madume 8 na majike 7 siyo hivi vimwanasesere utafikiri Juma na Rosa. Ng'ombe utafikiri mabaunsa....

Hili deni litakuandama daima na hutakuwa na amani mpaka utakapolilipa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umejikakamua umeongezea na vinguruwe viwili eeh? Ulishaona wapi kitimoto kinatolewa kama mahari? Hii dharau sasa kudadadeki
 
Hutu tuvikaragosi nilishakwambia hatuvitaki. Tunataka madume 8 na majike 7 siyo hivi vimwanasesere utafikiri Juma na Rosa. Ng'ombe utafikiri mabaunsa....

Hili deni litakuandama daima na hutakuwa na amani mpaka utakapolilipa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hee ina maana zile likes 100 nazo hazitasaidia?
 
Marcus Rashford retains his place and Romelu Lukaku returns up front for Manchester United's Premier League clash with Tottenham Hotspur, while Jose Mourinho has kept the three-man defensive system he used in the midweek Carabaro Cup win over Swansea City.
 
Rashford teed up the first of Jesse Lingard's two goals in South Wales and keeps his place with Anthony Martial dropping to the bench. At the back there are recalls for Eric Bailly and Phil Jones after injury as United go with a back three.
 
Back
Top Bottom