Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuogopa kushindwa ku-log in tena kwenye profile/ account zao. Hii hutokea kwa watu wanaotumia simu au computer zao binafsi kuingia kwenye mitandao ya kijamii. Inatokea pale ambapo mtu tayari aliingia (log in) kwenye account/ profile yake ya mtandao fulani katika simu au computer yake binafsi halafu baadae akagundua kuwa amesahau password yake na hawezi tena kuikumbuka. Watu wa aina hii huwa wanaogopa kuwa kama aki-log out hataweza tena kuingia kwenye account/ profile yake.