Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-28-12-33-14.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23]leo kasema hapa kuwa kaacha tayari na harudi kwa dada yako kabisa.

Umeamkaje lakini?
Siamini mpaka dada naye aje akonfemu hapa; na kama kaachika kweli sasa yupo kwa nani. Najua Moudgulf ndiye alikuwa anataka kumhamishia pwani.

Mimi nimeamka salama kabisa. Nje kuna baridi na manyunyu. Leo itakuwa siku njema sana. J'mosi yako inaendeleaje?
 
Nikiamua kuzifuatilia anakozitoa ni kazi ndogo tu. Kila picha iliyopigwa kwa simu (na baadhi ya kamera) inaonyesha mahali ilikopigwa, muda na hata kifaa kilichotumika na kama imerushwa mtandaoni unaweza kuangalia source ilikotoka bila tatizo lolote. Ni uwanja wake sitaki kumwingilia.
Aiseeeh![emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mtu huyo mbaya anaweza kutuma ujumbe mbaya kwa marafiki au watu wako wengine wa karibu uliojiunga nao kwenye huo mtandao wa kijamii kama vile Facebook n.k. Mfano anaweza kutuma ujumbe wa kuwatusi au kutoa maneno ya vitisho na itaonekana kuwa wewe ndiye uliyetuma.
 
Siamini mpaka dada naye aje akonfemu hapa; na kama kaachika kweli sasa yupo kwa nani. Najua Moudgulf ndiye alikuwa anataka kumhamishia pwani.

Mimi nimeamka salama kabisa. Nje kuna baridi na manyunyu. Leo itakuwa siku njema sana. J'mosi yako inaendeleaje?
Dadako king'ang'anizi kama nini sijui....

Naona hali ya hewa shawishi[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwema tunashukuru Mungu[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom