Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini hebu sasa piga picha au kufikiria nini kitakutokea endapo kwenye profile/ account yako ya mtandao wa kijamii kama Facebook, Twitter, Instagram, Linkedin n.k kutaonekana post ya maneno, picha au video inayomdhalilisha kiongozi yeyote wa nchi kama vile Rais, Waziri mkuu n.k, au ni post ya uchochezi wa kuvunja amani. Hakika utaingia kwenye matatizo makubwa na vyombo vya usalama kumbe sio wewe uliyepost. Hata kama utajitetea haitokuwa rahisi kukuamini kuwa sio wewe kwa sababu wewe ndio mwenye profile hiyo.
 
Mkuu kwema? Kingunge kadi namba 6 hakurudisha? Huna ubavu wa kumwacha Nsamaka wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji kwema.Hata mimi naona,yaani najizungusha weeee,yeye lake moja tu "ndoa bado ipo"
 
Kwa hiyo ili kuepuka watu wengine wasiweze kuingia kwenye account/ profile yako ya mtandao wowote wa kijamii jitahidi kutunza password yako kwa usiri na umakini mkubwa mtu mwingine asiifahamu na pia jitahidi ku-log out kila wakati unapotoka kwenye profile yako baada ya kumaliza mambo yako. Fanya hivyo bila kujali unatumia simu au computer yako binafsi, simu au computer ya kuazima kwa mtu au computer za public yaani kwenye internet cafe, vyuoni, maofisini, n.k
 
Jamani nimeamua kuandika post Madhara/ hasara za kutoka kwenye facebook na mitandao mingine ya kijamii bila ku-log out hii ili kuwatahadharisha na kuwakumbusha watumiaji wa mitandao ya kijamii kuhusu umuhimu wa kuwa makini katika kulinda usalama na matumizi ya mitandao hii ya kijamii. Ni vizuri kutumia mitandao ya kijamii kwa sababu ina faida zake, lakini ni vizuri zaidi kuhakikisha hatutumii vibaya mitandao hii kama vile kupost matusi, kudhalilisha wengine, kuchafua status za wengine au kuweka jumbe za uchochezi zinazoweza kuhatarisha usalama na amani.
 
Usichaji simu yako usiku wakati unaenda kulala:
Unapochomeka simu yako kwenye umeme kuchaji usiku wakati unakwenda kulala kuna uwezekano mkubwa simu yako ikakaa kwenye chaji kwa muda mrefu hadi asubuhi kwa kuwa utakuwa umepitiwa na usingizi. Kama hiyo ndio tabia yako kuchaji simu usiku ni vizuri ukaiacha mara moja kwani betri la simu linapokaa kwenye chaji muda mrefu sio tu kwamba linaharibu uimara wa betri lakini pia linakuwa kwenye uwezekano mkubwa wa kupata moto kupita kiasi (overheating)
 
1509183024662.jpg
 
Unapochaji simu yako ondoa mfuniko wa nyuma:
Joto sio zuri kwa betri za simu. Unapokuwa unachaji simu yako huku ikiwa na mfuniko wa nyuma unasababisha joto linalozalishwa wakati huo kubaki ndani ya simu na hivyo kuathiri betri la simu yako. kwa hiyo ni lazima kuondoa mfuniko wa nyuma wa simu ili kuruhusu hewa ya kutosha kuingia na kupunguza joto.
 
Epuka kuchaji betri la simu kwa 100%:
Kuchaji betri la simu kwa 70 hadi 80% inatosha kabisa kwa matumizi na ni njia mojawapo nzuri ya kutunza uhai wa maisha ya betri lako. Kuchaji kwa 100% haina maana sana kwa sababu inasababisha overheat na kuathiri maisha yake.
 
Tumia Charger sahihi na yenye ubora unaotakiwa:
Unatakiwa kuwa makini sana unapochagua charger kwa ajili ya simu yako ya smartphone kama hauna original. Unatakiwa kununua charger ambayo ni kampuni (brand) sawa na smartphone yako. Hakikisha inalingana uwezo (capacity) na ule wa smartphone yako.
 
Back
Top Bottom