Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mitandao ya kijamii siku hizi ndio imekuwa njia maarufu ya watu kuwasiliana, kupeana habari na ku-share picha, videos na story mbalimbali zinazohusu maisha na mambo yanayoendelea duniani kila siku. Kwa kutumia mitandao hii ya kijamii sasa unaweza kuwasiliana au kufahamu mambo yanayotokea dunia nzima kwa haraka na ndani ya muda mfupi.
 
Mechi kama hii zamani wazee wetu walibet mpka wake zao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata sasa wapo!

Mwaka jana niliona jamaa analia akionyesha makaratasi waliyoandikishana timu yake imeshindwa sasa mkewe anachukuliwa na Hamis. Ila maelewano hayakuwa kumbeba jumla.....
 
70f3abcdf562cbdf97d376553c8ac6db.jpg
mi wa huku kule nilikuwa nawapa support maana tunaubia mkubwa na Man u
Aiseeee
 
Talaka hadharani?? Kwani Kingunge/Lowasa alirudisha kadi ya ccm? Kila mtu anatumia fursa aliyoipata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu kwema? Kingunge kadi namba 6 hakurudisha? Huna ubavu wa kumwacha Nsamaka wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom