[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uuwiiii jamani[emoji134][emoji134][emoji134]Achana na kumbukumbu ya maandishi,kwani ile SMS ya kwanza kabisa niliyomtumia baada ya kunipa namba alikuonyesha? Unayo kama kumbukumbu ya maandishi?
Wee mzee jiangalie sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanamke ni sawa na mti wenye matunda unapondwa na kila mtu, hao walikuwa watongozaji tu,je uliona kuna mtu nilieingia nae makubaliano?Utakuwa unadhani mimi ni mzee wa pwani eti eeh?
Ulinidampo kweupeee jua linawaka,yuko wapi Bob12? Yegomasika? Achana na kichwa kichafu aliye jivua kwa mara nyingine tena baada ya moudgulf kujiinua kwa kutumia ng'ombe wa kwenye lanchi ya jirani yao...
Ikiwa mm muolewaji tu sina taarifa inakuwaje yy awe anajua?Anayo na kwa mzee wa pwani kapeleka barua ya kudai mahari.
Heee aiseeeZa kunyimana likes
Hahahaha bado sijaelewa kbs.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Kwa muuzaji mkubwa wa maparachichi.Kwa sasa sitaki kustresika ujue??