Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kazi nyingi na ngumu wakati wa ujauzito, kuoza wasichana katika umri Mdogo, ukosefu wa elimu ya maisha ya jamii wakati wa ujana, kutoa mimba, kuzaa katika umri mkubwa zaidi ya miaka 35, huduma muhimu za jamii kuwa mbali au duni pamoja na lishe duni wakati wa utoto, ujauzito na wakati wa kunyonyesha.
 
ni vyema kuvifahamu viashiria vya hatari wakati wa ujauzito, viashiria hivyo ni pamoja na; kutoongezeka uzito kwa wakati wote wa ujauzito (mama anatakiwa aongezeke angalau kilo sita wakati wa ujauzito). Kutoongezeka uzito ni dalili mbaya kwa mama na mtoto.
 
Tulizaliwa wote kijiji kimoja lakini nilishindwa kukuoa kwa sababu una tabia nzuri heee[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji445]
Imba[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji445]imbaaaa[emoji443] [emoji445] [emoji443] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444]
 
48925c44f4c74c958b68fcb80c5e862e.jpg
 
Back
Top Bottom