Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-28-12-25-39.png
 
Hata sasa wapo!

Mwaka jana niliona jamaa analia akionyesha makaratasi waliyoandikishana timu yake imeshindwa sasa mkewe anachukuliwa na Hamis. Ila maelewano hayakuwa kumbeba jumla.....
Hata wazee wa zamani sio jumla unakwenda kula mzigo baadaye unamrudisha mkuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji kwema.Hata mimi naona,yaani najizungusha weeee,yeye lake moja tu "ndoa bado ipo"
Mmetoka mbali. Kumbuka hilo. Na kutongozwa kwake na akina KK, Mr. Mogadishu na Mzee wa Pwani inadhihirisha kuwa umemtunza vyema bado anavutia. Kweli uko tayari kumwacha mke aliye bado mrembo na anayegombewa namna hii? Usifanye kosa hilo kwani utajuta maisha yako yote....
 
Hivi ulijipanga kupata mimba au imekuja tu?
Unategemea kupata jibu gani kutokana na swali hili. Mara nyingi unapomuuliza mwanamke mwenye hali hii humaanisha vitu vingi. Hivyo kwa mujibu wa wataalamu unachotakiwa kumwambia ni ‘hongera’.
 
Back
Top Bottom