mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
13:44 muda mchache ujao Man U Spurs uwanjani13:10
13:44 muda mchache ujao Man U Spurs uwanjani13:10
Naomba na mimi niwe mmoja wapo wa wakongwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatunyimani likes hapa mkuu - hasa kwa sisi Wakongwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji243] [emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji233] [emoji230] [emoji233] [emoji243] [emoji230] [emoji230] [emoji243] [emoji233] [emoji233] [emoji243] [emoji230] +[emoji241] [emoji241] sitaki kudaiwaHei. Usinilishe maneno (ex) shemeji. Mzee wa pwani sijaongea naye kuhusu mahari na hata hatuna taarifa RASMI kama ulishaachana na dadetu.
Umeamua kulikwepa deni la ng'ombe 15 uliotudhulumu kijanja eeeh! Hovyo kabisa yaani !!!
Hahahahaha mwambie ukweliMkuu kwema? Kingunge kadi namba 6 hakurudisha? Huna ubavu wa kumwacha Nsamaka wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ya masiku kitambo mkuu
Kweli kabisa yani hii mitandao si salama kama tunavyodhaniHakuna siri mtandaoni shemeji. Asikudanganye mtu....