Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hei. Usinilishe maneno (ex) shemeji. Mzee wa pwani sijaongea naye kuhusu mahari na hata hatuna taarifa RASMI kama ulishaachana na dadetu.Anayo na kwa mzee wa pwani kapeleka barua ya kudai mahari.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naimba na mimi uniletee maana nachoka kudondoshwa na upepo khaa!
Huu mpambano wa leo humu ni zaidi ya simba na yanga[emoji23][emoji23][emoji23]Hei. Usinilishe maneno (ex) shemeji. Mzee wa pwani sijaongea naye kuhusu mahari na hata hatuna taarifa RASMI kama ulishaachana na dadetu.
Umeamua kulikwepa deni la ng'ombe 15 uliotudhulumu kijanja eeeh! Hovyo kabisa yaani !!!
Dadako king'ang'anizi kama nini sijui....
Naona hali ya hewa shawishi[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwema tunashukuru Mungu[emoji120][emoji120]
Unacheka nini?[emoji15][emoji15][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]