[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hutu tuvikaragosi nilishakwambia hatuvitaki. Tunataka madume 8 na majike 7 siyo hivi vimwanasesere utafikiri Juma na Rosa. Ng'ombe utafikiri mabaunsa....
Hili deni litakuandama daima na hutakuwa na amani mpaka utakapolilipa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulinipa ahadi tukutane kwenu..nikitumaini nimewahiii..nilichopata kwako ni matusi na dharau telee...[emoji445][emoji445][emoji445]Solemba solemba solemba haaaaa[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji445]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vinguruwe ni bonus shemejiUmejikakamua umeongezea na vinguruwe viwili eeh? Ulishaona wapi kitimoto kinatolewa kama mahari? Hii dharau sasa kudadadeki
Andjul mbabaishaji. Nimeshamwambia hana ubavu wa kukuacha mwanamke kama wewe. Mwanamke bado mrembo kila unakopita mijibaba inahangaika mpaka mingine imekwama Mogadishu kutafuta mahari. Hakuna cha talaka wala nini shemeji naona anafurahisha baraza tu. Ndoa yenu itakoma siku wewe ukiamua kumuacha na si vinginevyo!!!Kaka eti ulipokea talaka toka kwa andjul?
14:1213:29
Aaaa wapi! Tutaona....Yaani mnanifurahisha mjue[emoji23][emoji23][emoji23]
Jiandaeni tu kuwa sapuraizid maana hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante Numbisa.Lile kaburi nalisubiria nilifukue Aseno akishindwa kufanya maajabuHee ina maana zile likes 100 nazo hazitasaidia?
Yaani wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Ila kweli.
"Daladala yenye muonekano mzuri ndio inayo gombaniwa na abiria".
Konokono [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]We acha tu. Tena shawishi mno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Natamani ningepata supu ya kongoro (siyo ya mapupu wala konokono) hapa iliyojazwa pilipili nizimue. Basi tu yaani....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zamani yangu hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana
Samahani shemeji,hakuna kubadilisha maamuzi.Acha Aseno aamue leo kama nitalipa au nasamehewa.Zile likes 100 mi naona ziende zikafute mahari ya Uniq tunayomdai kwa ajili ya kumuoa Baby S (ng'ombe wawili majike wa maziwa na mbuzi wanane. Sijui na bata 30?). Huyu Mnyakyusa acha tu tukomae naye aisee. Au unasemaje?
Sapuraizid?We shemeji wewe acha utani[emoji23][emoji23][emoji23]
Jiandae kuwa sapuraizid[emoji23][emoji23][emoji23]
Nazingoja kwakweli maana hali si nzuri kipindi cha upepo